biashara mnauliza in public,, majibu mnataka PM,,kweli watu wabinafsi,, au unafkr kuna watu watakuwahi? acha watu tukupe fursa in public na wenye uhitaji kama wewe wapate faida pia,, ndo maana ya kuanzisha uzi,, cs naimani na wewe mtoa mada umeshawah kufaidika kupitia nyuzi za watu mbalimbali
Nawasilisha........