Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 369
Habari wadau,natafuta nafasi ya jiko la kukodi kwny bar,mwny tararifa anicheki hapa au PM.
Mkuu kuna jiko na bar linakodishwa lipo basihaya barabara ya bagamoyo road. Laki 5 kwa mwezi.
Habari wadau,natafuta nafasi ya jiko la kukodi kwny bar,mwny tararifa anicheki hapa au PM.
Haujasema wapi