Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Tanga Hapo kuna fursa sana, wenyeji biashara yao kuu ni chakula,
Ukitoka hapo nafaka na Masofa hasa 15...
Ungedili ma electronics utapata sana pesa.
Nafaka? Au Chakula?Mtaji sina mkuu ndio nataka kuanzia hapo
Nafaka? Au Chakula?
Kwahizo sehemu ulizotaja hapo, frem 300k per month