Mmezidi mno kwa uchafuzi wa mazingira. Mnatupa takataka bila kinga, ila mkiambiwa muokote mnadai kinga. Hongereen sana askari kwa kuwalazimisha hao wanyakyusa waokote takataka bila kinga.
Japo ni sawa mazingira yamechafuka mahali pengi na kuwalazimisha wanambeya kusafisha (and therefore kuwa teach a lesson ili wajifunze kuyatunze mazingira yao), si haki kulifanya hili jukumu bila kinga.