Habari za mda wadau
Kwa kusikiliza hotuba za muheshimiwa mkuu wa nchi, kwa wale wakazi wa dar es Salaam wajiandae kisaikolojia kwamba mkoa utakuja kuwa wa gharama zaidi kuliko ilivyo hivi sasa. Chukulia madhalani miji mikubwa ya kibiashara kama Los Angeles, Dubai, New York maisha ya miji hiyo ni ya juu zaidi kuliko miji mingine pembeni yake. Karibuni Dodoma
View attachment 973231