Nimesikia sana kuhusu forex naomba 2wasiliane naomba uni2mie zako zako kweny email yangu johhenry15@gmail.com 2wasiliane zaid tafadhalhasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1 m...ukisomaa vzr .kwa mimi napiga pesaa kwa wiki naweza nikapiga 2lakiii ...asa ajira ya nin apo ...changamkiaa fursaa vijanaa but Is Not easy...inabidii ujitoeeh
Miezi sita wapi wewe mwambie asome online Google search www.babypips.com akimaliza a download kitabu kinaitwa candlestick bible by muhenisa akimaliza a download kitabu kinaitwa naked forex ,only two months atakua ameelewahasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1 m...ukisomaa vzr .kwa mimi napiga pesaa kwa wiki naweza nikapiga 2lakiii ...asa ajira ya nin apo ...changamkiaa fursaa vijanaa but Is Not easy...inabidii ujitoeeh
Kuna mtu humu anaitwa ontario alikuja kama wew mkuu, watu wakajitupa kwenye huo mchezo kichwa kichwa wakijua ni kwenda kudownload pesa, waliishia kuunguza account na kuanzisha uzii kuwa ontario kawatapeli, kiukweli walikuwa wavivu wa kusoma vitabu na makala mbalimbali ya hii biashara, kwa mentor na broker wao ndo walizinguanaNimesikia sana kuhusu forex naomba 2wasiliane naomba uni2mie zako zako kweny email yangu johhenry15@gmail.com 2wasiliane zaid tafadhal
Hasara ni za kawaida kama kwenye biashara nyingineHaya mambo ya
Yamejadiriwa sana humu na msipende kuongelea faida. Muwe mnajadiri na hasara zake
ONTARIO IS BACK...hasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1 m...ukisomaa vzr .kwa mimi napiga pesaa kwa wiki naweza nikapiga 2lakiii ...asa ajira ya nin apo ...changamkiaa fursaa vijanaa but Is Not easy...inabidii ujitoeeh
usiwazee mzee ...sema mimi sifundishi kuhusu forex but nawez nikakusaidia baazi ya vitabuu buree kabisa ni wewe tu kujitoaah kwenye kusomaNimesikia sana kuhusu forex naomba 2wasiliane naomba uni2mie zako zako kweny email yangu johhenry15@gmail.com 2wasiliane zaid tafadhal
kila mtu na uwezo wake wakuelewa kwa mim nilitumia miez sitaa nikawa freshii ..Miezi sita wapi wewe mwambie asome online Google search www.babypips.com akimaliza a download kitabu kinaitwa candlestick bible by muhenisa akimaliza a download kitabu kinaitwa naked forex ,only two months atakua ameelewa
Sawa labda ulikuwa na kazi nyingine ila me nimeaoma nikiwa free ndani ya hii likizo ya form six leavers ..check demo trades nayofanya hapo chini.. Next month naanza live trading.kila mtu na uwezo wake wakuelewa kwa mim nilitumia miez sitaa nikawa freshii ..
kama wewe huoni ina muhimu achana nayo ..kuna mtu anaweza akafunguka kuhusu hii ishuu ..ko achaa izoo mamboo jombaaAlafu hili ni la kwenye jukwaa la Biashara na lishaandikwa mara kibao na elimu tosha ipo kule.so modes should delete this post here.
hii ishu sio kamali ..sio kama m bet ..yaan hii uwelewa wako ndo unakufanya kupiga pesa hamna mambo yaku bashiri kwenye forex ..ni akili tuu zinatumikaKwenye Kamali useme kweli tu mkuu, unaweza kupiga mamilioni pia unaweza kupoteza matrilioni na kubaki na madeni, kupata ugonjwa wa moyo na kuwa fukara.., in short sishauri mtu yoyote hii, its a risky endeavor na ukifanya daily 365 day a year lazima mwisho wa siku utapigwa tu
mim sifundishi kuhusu hii ishu but nillikuwa nawapa mwangaza watu ambao walikuwa hawajuiiKuna mtu humu anaitwa ontario alikuja kama wew mkuu, watu wakajitupa kwenye huo mchezo kichwa kichwa wakijua ni kwenda kudownload pesa, waliishia kuunguza account na kuanzisha uzii kuwa ontario kawatapeli, kiukweli walikuwa wavivu wa kusoma vitabu na makala mbalimbali ya hii biashara, kwa mentor na broker wao ndo walizinguana
Hakuna mtu atamsahau ontario, ye ndo mwanzilish wa hii kitu humu jf na kuwafumbua macho TMT na CEO wao waliishia kuitwa matapeli,
Note, forex ipo na ukienda pole pole usipoweka tamaa mbele unapiga pesa, mwenyewe huu mwez wa nne naifatilia, nafuatilia sana watu waliofilisika kwa sababu ya hii kitu, afuu najiongeza mwenyewe, uzur kuna demo acount, cent na standard, saiz napambana na demo kwanza, huku nafuatilia makala mbalimbali za watu waliofanikiwa na kufel, mpaka ntakapokuwa nondoo hasa ndo nita anza rasimi, nadhan baada ya mwaka ivii
anhaaa ausio sio mbaya mzee mdogo mdogo ivyo ivyohhSawa labda ulikuwa na kazi nyingine ila me nimeaoma nikiwa free ndani ya hii likizo ya form six leavers ..check demo trades nayofanya hapo chini.. Next month naanza live trading.View attachment 870351