Mwanzoni kabisa mi ningependa kujifunza vokali na irabu za kichina
Kuandika ni changamoto, lakini kama ukiweka mkazo kwenye kufanya mazoezi ya kuandika mara kwa mara unaweza kufanikiwa vizuri tu bila shida yoyoteKati ya kutamka na kuandika, mimi naona kuandika ndio mziki kwenye hii Lugha ya Coróna
Lugha ya maadishi ya kichina wanatumia hanzi (汉子)kwasababu kwenye lugha ya kichina hatutumii alfabeti. Kwa kufuata mfumo wa kijifunza lugha ya kichina kwa wageni ‘’foreigner’’ inatakiwa ujue hanzi 300 kwa hatua ya chini (beginer level).Mwanzoni kabisa mi ningependa kujifunza vokali na irabu za kichina
ᴱᵛⁱᵗᵉᶻ ˡᵉˢ ʳᵃˢˢᵉᵐᵇˡᵉᵐᵉⁿᵗˢ ⁱⁿᵘᵗⁱˡᵉˢ ᵉⁿ ᵒᵈʳᵉ ᵖᵒᵘʳ ᵃʳʳᵉᵗᵉʳ ˡᵃ ᵖʳᵒᵖᵃᵍᵃᵗⁱᵒⁿ ᵈᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ¹⁹
Kabisa but kinachotakiwa ni juhudi na kujitumaHakuna jambo rahisi duniani.