Jibu la prof Sheriff kwa prof Tibaijuka


Falconer,

..madai ya Referendum yana taratibu zake.

..kwa kuanzia madai hayo yanapaswa kupelekwa mbele ya bunge la muungano.

..Mh.Jussa aliteuliwa na Raisi Kikwete kuwa mbunge mwaka 2009. Sikupata kumsikia akizungumza lugha anazozungumza sasa hivi wakati alipokuwa na nafasi hiyo.

..lakini fuatilia msimamo wa Wabunge wa ZNZ[CUF + CCM] wakati wa mjadala wa sheria ya kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Wabunge toka Zanzibar kwa ushabiki wao, huku wakimtukana matusi makubwa-makubwa Mh.Tundu Lissu, wamepitisha sheria ambayo inaweka vikwazo kwa mjadala wa kina kuhusu muungano wetu wakati wa mchakato wa katiba mpya.

..mwisho, CUF wamewasilisha rasimu ya katiba ya Jamhuri ya muungano ambayo inapendekeza serikali 3 ambako kutakuwa na Raisi mmoja wa muungano, na serikali za Tanganyika na Zanzibar zitaongozwa na magavana!! Sisi wengine tunaona kwamba wanasiasa wa Zanzibar wanaongea kwa "ndimi mbili."

NB:

..kama kweli Wazanzibari wako serious basi waanze na kugomea masuala yote ya muungano. Washinikizeni viongozi wenu wasusie shughuli za muungano na kuachia madaraka yao ktk serikali ya muungano.
 
Tayari umeshaonyesha kujitilia shaka kuhusu uraia wako, kama wewe ni muhamiaji wa uvamizi katika kisiwa cha Unguja.
Kila kitu kipo wazi kama Waarabu, Wapershia na hata wahindi ujio wao Unguja ulikuwa ni kujitajilisha na hata kufikia
kutawala. Mimi sizungumzii kwa mdomo bali histori ya unguja imeshjiandika pitia tena hizo link uwelele vizuri.
Kwenye karne ya 4 Afrika kulikuwa hamna mipaka kwa hiyo Afrika wote ni wamoja. Ujio wa Watu weupe kutoka ulaya
ndio walioigawa Afrika na kuzitenga jamii. Na hata wale waliochukuliwa utumwa na kupelekwa Oman unataka kuniambia
wale ni Waarabu. Kwa Civilization tunawaita wa Oman wenye asili ya Kiafrika. Sawa na wewe mu Unguja mwenye asili
ya kiarabu. Hapa tunaelimishana kwa wale wasioelewa, kinachotakiwa wewe Barubaru utoe uzi wa kukanusha kwa data
za kihistoria kuhusu huo uzi wangu kuhusu ujio wa Waarabu na wapershia Unguja na hadi kufikia leo wakati wa kugombea
Bahari, Mafuta na kujitoa katika muungano. kinyume cha hapo nitazipuuza thread zako. Kinachosubiriwa ulete ilo darsa
lako kukanusha hiyo historia ya Unguja ili uweze kupata data zaidi ya hizo, siongei kwa kumbukumbu za kutoka kichwani,
bali ni vitabu vinavyojieleza.
 
nonsense...
 

Hapana kupinda pinda ...Msimamo wa Zanzibar ni mmoja. Hao vibaraka mnao watumia sikuzao zinakaribia ukingoni. Mimi naona dalili za machafuko siku za mbele ,labda hapo tukianza kunyimana usingizi ndio mtaelewa . Namuomba M/Mungu asitufikishe hako.
 

Hebu fuatilia historia ya JKN naye pia ni mtanganyika. Walle wajaluo na makabila mengine kule Mara si kutoka kenya wale. Lakin pia wale ndegu zetu Bukoba nao pia hawana asili ya Uganda, burundi na rwanda, vipi kule kigoma na mtwara na Lindi nao.

Hakuna mtanganyika safi kila mtu ana doa la nchi nyingine kwa mujibu wa historia kutokana na vitambalimbali na muingiliano wa biashara mbalimbali katika jamii hizo. Vita miongoni mwa makabila navyo ni chanzo kingine mwingiliano.

Ni vizuri turudi mada husika tuendeleze mnakatumesha .

kama unataka uzi wa historia basi wewe anzisha na sisi tumesheheni mengi sana tutaku darsisha.sha.



 

Check hiyo link Map of Africa, Maps of African Countries, landforms and rivers, and Geography Facts - Worldatlas.com
 
Baraza la Mapinduzi (baraza la mawaziri) la Zanzibar halikuwa na taarifa. Balozi Seif Iddi , kiongozi wa Serikali katika baraza la wawakilishi alisema mbele ya baraza la wawakilishi kama yeye hakujua lolote.

Nitarudie tena kwa mara ya mwisho kama hutanielewa nitakufuata huko "nikuzabe vibao" maana kuna wanafunzi hawaezi kuelewa ila kwa viboko!

Sio kila jambo inaloamua SMT au SMZ lazima lipitie kwenye bunge la JMT au BLW. Vivyo hivyo wakati hili jambo EEZ linajadiliwa na kufikishwa UN halikupelekwa kwenye bunge la JMT au BLW (ni makosa ya katiba yetu mbovu).

Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba Zanzibar haikushirikishwa. Hili jambo liliamulia kwenye baraza la mawaziri la SMT ambalo kuna wajumbe kutoka ZNZ nao VP Dr. Bilal, Dr. Shein (waziri asiye na wizara maalumu), Shamsi Vuai Nahodha (mambo ya ndani), Hussein Mwinyi (Ulinzi), Samia Hassan Suluhu (Muungano), Omari Nundu (Mawasiliano/Uchukuzi) etc.

Balozi Seif Idd kutojua kama kiongozi wa BLW, haina maana kwamba SMZ ilikuwa haifahamu. Ndiyo maana kwenye ule ujumbe ulio kwende UN kupeleka ombi walikuwepo wajumbe kutoka BLW, SMZ. Je, hawa wote walitoroka makazini kuapata ruhusa?! TAFAKARI

Tatizo kubwa la viongozi wa ZNZ wanapokuwa na wa wenzao wa muungano wanaongea lugha tofauti, wanapokwenda huko ZNZ wanaongea lugha nyingine, hii haikuanza leo tangia wakati wa Abood Jumbe Mwinyi na kitabu chake THE PARTNERSHIP. Matokeo yake Nyerere akamuweka kizuizuni Kigamboni.

This is the root causes ya maatizo yenu Wazanzibari, bila kuwa take into task viongozi wenu mtabaki kuwalalamikia Watangayika milele. Mfano mwingine ni sheria ya mabadiliko ya katiba mpya wabunge wenu (CCM na CUF) walivyoshadadia hiyo sheria inayominya uhuru wa kutoa maoni kwenye mambo yanahohusu muungano.

Mtajibaraguza huko kwenye masikani ya kahawa na kashata lakini we know finally mtafyata mkia na eno litaongezwa. Mark my words.
 

Soma katiba uelewe:

Part I
1. Tanzania is one State and is a sovereign United Republic

Kwa lugha nyingine Tanzania = United Republic of Tanzania. Kwa hiyo Jina Tanzania ni kifupi cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tanganyika + Zanzibar = Tanzania = United Republic. Mbona unashindwa kuelewa hiyo lugha rahisi vile.


2.-(1) The territory of the United Republic consists of the whole of the area of mainland Tanzania and the whole of the area of Tanzania Zanzibar, and includes the territorial waters.

Hapa maana yake ni kwamba hakuna kitu inaitwa Tanganyika, bali kuna Tanzania bara na Tanzania Zanzibar ambazo ndio zinaunda Tanzania moja au Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili hakuna eneo la maji kwa ajili ya Zanzibar wala Tanzania bara, eneo lote la maji ni la Tanzania (Jamhuri ya Muungano).
 

Ndio maana nakwambia acha uvivu wa kufikiri.

Nimekwambia hakuna nchi inayoitwa Tz, bali kuna Jamhuru ya muungano wa Tanzania (JMTz). Na hata katiba yenu na hata kwa njia raisi angalia passport yako imeandikwa hivyo.

Sasa naomba nikuulize Je katiba yenu imesema kuwa Tanzania ni kifupi cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (nimepitia abbreviation za katiba yenu hakuna hilo) sijui nijuze umelitoa wapi kifupi hicho?

 
Barubaru,
Mjadala unaendelea, Nilishafafanua kama waafrika haswa kuanzia mashariki ya kati mpaka kusini wote ni wamoja. Kabla ya
wazungu kuweka mipaka na kuchora ramani ya kwanza ya Afrika na kujigawia makoloni. waafrika wa sehemu hizo
tajwa walikuwa wanaishi popote pale wanapotaka na wanapoona panawafaa. Sasa basi mpango huo wa kuanza kuzitenga
jamii barani Afrika , uliitwa "Berlin Conference" na ulifanyika kuanzia November, 1884 mpaka February 1885. katika mji wa
Berlin, Ujerumani. Nyuma ya hapo kulikuwa hamna mipaka. Ukiangalia Tanganyika baada ya michoro ya kuigawa Afrika
tayari ilishawafungia watu kwa kutokuweza kwenda wanapotaka kuhamia au kurudi kule walipotoka.
Makabila mengi ya Tanganyika yamekuja kutoka Kaskazini, Kusini na magharibi. Tuchulie mfano Wapare, Wamasai wametokea
" ABYSSINIA "yaani ETHIOPIA. Wangoni wametokea AFRIKA YA KUSINI . Wabembe, Wamanyema hao wametokea KONGO.
huo ni mfano mchache tu, na hayo makabila yote yalikuwa na sababu za kuhamia sehemu nyingine, aidha malisho ya mifugo,
aidha ardhi ya kulima, aidha kuvua samaki, aidha kushindwa vita na kukimbia na kuhamia sehemu nyingine.
Aina hiyo ya maisha ilikwama na kuwa mwanzo wa civilization kwa waafrika Waarabu wahindi waliokutwa katika sehemu husika.
Na ukazidi kuwa mgumu kwa watu kwenda na kuhamia sehemu nyingine,baadaya kuchorwa ramani ingine ya kiugawanya Afrika, ramani iliitwa " Political colonial africa, " 1916.
Turudi katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar. yaani " THE ARTICLES OF UNION BETWEEN TANGANYIKA AND ZANZIBAR "
ndio wenye matatizo madudu mengi ndani yake. kutokana na wakati wanatakiwa wakae mezani tena na ufanyiwe marekebisho.
kwa mapungufu na yote yanayohitajika muhimu yaingie humo, kwa sababu ulaghai upo. Baada ya hapo Articles mpya ya
muungano, yaani Union agreement inatakiwa ifanyiwe registrering katika secretariat ya UN, Legal Councel.
Na hapo Muungano ndio utakuwa umekamilika, Basi ikiwa kutakuwa na mwelekeo kutokuelewana kati ya nchi hizo mbili
mmoja wapo akipeleka mashtaka umoja wa mataifa, registered treaties to invoked. Kazi sasa imebakia kwa Watanganyika
na Wazanzibar kuuweka sawa Muungano, ilo ndio Darsa.
 


Nimekwambia hakuna nchi inayoitwa Tz, bali kuna Jamhuru ya muungano wa Tanzania (JMTz). Na hata katiba yenu na hata kwa njia raisi angalia passport yako imeandikwa hivyo.

"1. Tanzania is one State and is a sovereign United Republic"

Hiyo ni nukuu kutoka kwenye katiba, ni sentensi ya kwanza sehemu ya kwanza kwenye katiba ya Tanzania. Tanzania ndiyo jina lilizaliwa na muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na baadaye ikwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa hiyo unapotaja Tanzania unamaanisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kweli hakuna nchi inayoitwa Tz bali kuna nchi inayoitwa Tanzania = Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania ambayo ufupisho wa jina lake ni TZ au TZA. Na hakuna nchi inaitwa "Jamhuru muungano wa Tanzania"

Sasa naomba nikuulize Je katiba yenu imesema kuwa Tanzania ni kifupi cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (nimepitia abbreviation za katiba yenu hakuna hilo) sijui nijuze umelitoa wapi kifupi hicho

Jibu lako ni hili hapa:

"1. Tanzania is one State and is a sovereign United Republic"

Watafute wanasheria wakufafanulie maana ya hiyo sentensi
 
Baraza la Mapinduzi (baraza la mawaziri) la Zanzibar halikuwa na taarifa. Balozi Seif Iddi , kiongozi wa Serikali katika baraza la wawakilishi alisema mbele ya baraza la wawakilishi kama yeye hakujua lolote.

Sasa amejua si achukue hatua??
 
wawaachie ka kisiwa kao jamani. washasema hawataki, mnawalazimisha nini?. mia
 
Sasa amejua si achukue hatua??

Huu ni usanii mtupu, mimi nataku kujua kwanza kwa nini tuna wabunge wa Zanzibar? na mawaziri wazanzibari? kama ushiriki wao hautambuliwi Zenji kwa nini mwanachi wa bara anateseka kuwalipa na kuwalisha watu wasio na shukurani? si wafunge mizigo warudi Zenji? ili tujue ni watu gani wa ku deal nao, au wanasubiri Gobos awambie vunjeni sasa muungano????
 

dont expect an apology
nowdays you dont say ‘hewallah bwana.' but you keep lamenting for a short time,then u let us do what we have to do,& thats all we want
 
Hello ndugu,be honest with yourself,Zbr will not be a soverein country unless recognized by the UN and not Pror Tibaijuka or anyone else, you people are fumbling about while you clearly know Zbr is not a soverein country, the prof,i mean Tibaijuka is very right here, there is only Tanzania in international recognition,it is simple,tell me your nationality fist then i'll train you!
 
Kwani ipo nchi duniani inayoitwa Tanzania? Tazma vizuri katiba na ramani yako. [/QU Tanzani ipo ndugu,kwenye ramani kabisa,Zbr haipo!we unaangalia ramani ipi? Nyie mko kinyume,iwekeni hiyo nchi kwenye ramani kwanza,this is a no contest debate
 
Tatizo ni mafuta waliyoambiwa yapo. Hahhahhaha siku wakiambiwa mafuta yapo kuanzia coast ya Dar mpaka kule kwa samaki nchanga hahahhahah wataudai muungano kwa nguvu zote.
Hawa watu wanajichanganya na zaidi ni watu wachache wanawapotosha wazanzibari ni hili kundi la maprofessssazzzzz wakitumwa na mutu mumoja hivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…