Unajuaje alikua hatumii ID ya mpenzi au rafiki yake?Au kama alikua anachungulia profile ya mtu mwingine!
Afu wewe una mapozi wewe!...lkn ndo wakati wako mwaya!:hand:hili nalo neno.....yote yanawezekana....
Ukifungua kwa juu kushoto utaona user name uwezikuwa unatembelea profile ya mtu ukakuta user name! Kwani jf kunani mpaka mpeane pswrd??wakati huku nisehemu ya kujiachia kwanini ugawe uhuru wako??Unajuaje alikua hatumii ID ya mpenzi au rafiki yake?Au kama alikua anachungulia profile ya mtu mwingine!
Ukifungua uka log in kushoto unakuta wellcome Kakakiiza means ni ID yangu na nimelog in!!Bado sijakuelewa mkuu, ulijuaje kama ni ID yake? Ukifungua JF kwenye computer yako unachokiona siyo ID yako peke yako, wakati mwingine hata ID yako inaweza isiwepo
Ukifungua kwa juu kushoto utaona user name uwezikuwa unatembelea profile ya mtu ukakuta user name! Kwani jf kunani mpaka mpeane pswrd??wakati huku nisehemu ya kujiachia kwanini ugawe uhuru wako??
Ukifungua uka log in kushoto unakuta wellcome Kakakiiza means ni ID yangu na nimelog in!!
Wanagawa kwasababu hawapungukiwi kitu!!
Afu wewe una mapozi wewe!...lkn ndo wakati wako mwaya!:hand:
Halafu na J3 ulete maurembo yako hayo hayo...tutakususia mguu mzima wa mbuzi pale kwa Morombo!...Umepata pm ya nanihiino eeh?najua nitakueleza utanielewa tuu....sina hofu na wewe
Halafu na J3 ulete maurembo yako hayo hayo...tutakususia mguu mzima wa mbuzi pale kwa Morombo!...Umepata pm ya nanihiino eeh?
Unajuaje alikua hatumii ID ya mpenzi au rafiki yake?Au kama alikua anachungulia profile ya mtu mwingine!
Mmh huko tena baba mchungaji?Baby thread haina mashiko njoo Facebook!
Ndio baba!Vipi wewe?Jambo mamaa?