Akah!mwenzangu na miye naomba niwemo hawa under 35 hata miye nawaogopa!!!!!wengine wanaafiki tu!watafika kuchunguza watuTeeh, nyie bwana mna shida zenu nyingi tu. Kwanza sisi tushatoka kundi la vijana, tupo watu wazima sasa....
Wanafiki tenaAkah!mwenzangu na miye naomba niwemo hawa under 35 hata miye nawaogopa!!!!!wengine wanaafiki tu!
Kweli nakuambia atafika si kwa ajili ya party hapana!!atafika na yake pale mengine tu ili akuchambe vzr!!Wanafiki tena
Doh ,we unatafuta sababu usiende ktk party sasaKweli nakuambia atafika si kwa ajili ya party hapana!!atafika na yake pale mengine tu ili akuchambe vzr!!
Ntaenda nakuvaa maski usoniDoh ,we unatafuta sababu usiende ktk party sasa
Duh ,utapendeza sana aseeNtaenda nakuvaa maski usoni!!!
HahahaEtii eeehh!!!navaa maski tu!
Na msura huu ulivyoumuka ntakua kama mysteriou wa kwenye mielekaHahaha
Una mask ,ila chura unaiachia waioneEtii eeehh!!!navaa maski tu!
Mmmh ,Sawa sura funika,chura achiaNa msura huu ulivyoumuka ntakua kama mysteriou wa kwenye mieleka
Hahaha ,inawezekana hebu jitajeni ,siku hy mtawapa tabu Sanahuwajui wenye vyura weyee!!
Hahaha ,inawezekana hebu jitajeni ,siku hy mtawapa tabu Sana
Mimi muendesha guta natokea tu, sina cha kupotezaNdo maana
Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda
Tusio na magari tunasita
Tusio warembo tunarudi nyumba
Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...
Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!!
Kumbengoja aje muandaaji ndo utajua !!!ana jichura km lotee
Naona unanipa sababu ya kutokuja maana hayo yote yananihusuNdo maana
Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda
Tusio na magari tunasita
Tusio warembo tunarudi nyumba
Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...
Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!!
Hahahaha ,vyote hivyo huna na hata chura huna,kinywaji unakunywa juice ya azam ,dah we inabidi ubakiNdo maana
Tusiosoma kama Mimi tunaogopa kwenda
Tusio na magari tunasita
Tusio warembo tunarudi nyumba
Tusowahi kufika hata mpk wa Uganda na Tanzania tunachelea
Tusiojua English ndo kabisaa...
Maskini kama Mimi naona ntaumbuka tu!!!