Jf member gender id

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
1,135
Reaction score
131
Utakuwa ni uwongo wa mchana mbaya zaidi kujidanganya wenyewe kudhani kwamba kila mwana JF ni mkamilifu ki-mahusiano.

Just imagination but i believe, wapo watu humu wame acha,achwa,underprobation,suspended,under tentional relationship etc.

Kwa kuzingatia hivyo basi, ingekuwa vyema: Mapendekezo kwa MODERATOR, atutayarishie namna ambayo itakuwa rahisi kutambuana jamvini "who is who, gender wise".

NB: Wazo hili nimelipata baada ya kuona kwamba naenda kulala peke yangu bila suluhu ya kweli na ya kudumu ya mambo yangu, japo nimemaliza kuchat na watu ambao wamenifariji sana kimtazamo kuhusu matatizo.

Nawalilisha, kwa busara ichangiwe!
 
Hii nayo italeta maneno. Nasubiri kuona feedback.
 
thats gonna be a gender biasness....i don't support
 

JK,

Pole!

Umetaja makundi meengi hapo juu(kwenye black), lakini unahitimisha kwa kutaka groups za gender!...Kwanini angalau usiseme kuwe na utaratibu wa kujua wenye shida ulizozitaja hapo juu?

Kimsingi, wazo lako ni zuri nilivyokuelewa...Unataka angalau baada ya kuchat hapa weeee..angalau mtu umpate kikweli mtu anayeweza kutatua shida zako...

Lakini nakushauri, kabla mods hawajaweka vitufe hivyo, ukiona mtu ana mwelekeo wa unachohitaji, zama nae kwenye pm, HUKO MTAKUWA HURU ZAIDI.

Lakini kumbuka kuwa KUCHAGUA MKE UMPENDAE NDIO TIBA BY 85% YA MATATIZO YA NDOA!

SOURCE😛AKAJIMMY.
 
Ni wazo zuri. Isipokuwa, nionavyo iwapo wengi wetu tulichagua jina la kutumia katika mjadala hapa ukumbini, vivyo hivyo tutaweza kuamua kuchagua jinsia ya kushiriki katika mijadala hiyo.
 
mtu anaweza kuwa male lkn akaweka female..
 
mtu anaweza kuwa male lkn akaweka female..
Tunaamini na ingekuwa vyema kila memba akaamini hivyo kwamba anawakilisha michango na mawazo kwa watu makini, sasa ikifika wakati mtu anaficha gender id yake, tuna haja ya kuhoji uwepo wake katika jamii yetu. Hasa ikizingatiwa kwamba kusema ndio au hapana katika mawasiliano na mtu yoyote ni hiyari binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…