Mwalimu Mkuu
Member
- Dec 26, 2010
- 62
- 39
Asante sana Nsiade unapotea sana mpendwa usiwe unafanya hivo..
Am ndio kazi inakubana mwenzetu
hv great weekend
sure! nilichukua ka likizo ka wiki tukaenda maeneo fulani nje ya mji...... kwa ushauri wa Nsiande, flowers and some music, was real romantic evening.....! salaam zenu zimefika na ameahidi kujoin the group soon! thanx!
Kitenge wear
Love you all najua mko vere busy :love:
Tupige story hapa napenda kujua kina dada mnapenda nini upande wa
wa mavazi, nywele ,viatu na mengineyo mwajiweka vip manake najua kila mtu anavitu vyake anavyopenda !
Natamani kuwaona siku moja wooote ..
Nikianza na List kama ifuatavyo!
Mimi Binafsi napendelea sana kusuka rasta or dread lakini nywele iko natural sometimes naachia afro shiraz popote utakaponiona lazima Napenda jeans tight na vitop top kumechisha
Napenda ma handbags na makorokoro kibao sina mkorogo napaka mafuta ya nazi usoni made in mimi mwenyewe no make up napenda nguo za vitenge za kushona nk nk
Nitaendelea
[/FONT][/SIZE]
1ST Lady thank you for sharing... I know am a bit late but i believe unakubaliana nami kua better late than never....
Personally napenda nguo nzuri as in inaweza onekana ya kawaida but ni quality na ya maana na naweza vaa mda mrefu.... Tokana the the way ninavyojijua nilivyo vazi langu kumbwa ni jeans (suruali) tops zina vary ili mradi iwe comfy and looks good on me... Sidhubutu kusogelea leggings mana nazo zile ukikosea na uka fail to pull it off waweza onekana hooker katika jamii yetu .... Nguo za vitenge lweli ni chache mno hunishoboa...
Hair style kwangu I look good in short hair style, sipendi sana extensions (i feel so artificial in them) but mara moja moja natupia... Braiding nayo hunifanya ni look good.
hujachelewa my dear hii ni Topic endelevu ,hebu nifundishe siri ya nywele fupi ,maana ie always na marasta na dread:A S-rose:
Nitarudi baadae FL .:A S 39: