FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
eeh, mi mavazi napendlea surual zaid, simple shoes, nasuka nywele na mara nyingi napendelea rasta, ctumii mkorogo, napaka revlon lotion na powder tu!
Ooh!
Mimi mavazi napenda vimini na vigauni ila mavazi yote navaa.
Nywele mara nyingi naziachia, sipendi kusuka suka wala kushonea weavings, ni mara chache sana nafanya hvyo. Mara nyingi naziseti tu.
Viatu inategemea na mazingira. Sina make ups zaidi ya mafuta na poda.
Kifupi huwa nipo simple sana.
Wewe je?
karibu sana Fl, ila na wewe hujasema unapendelea nini. Kati ya ulivyoviulza. Aisee mi nikienda job mahandbag sio ya kuuliza!asante sana sweetlady angalau napata picha ya sweetlady iko vip safi sana vere simpo gal
hahaha asante sana my dear Husninyo na je hupendi kubeba ma handbags kila unpokwenda?
Na usirudi tena! Wenzio tuko kwenye k'party we unakuja kupiga chabo. Tutakuchangia wewe.Mmh, sorry, mimi siyo lady. Nilipotea njia.
Na usirudi tena! Wenzio tuko kwenye k'party we unakuja kupiga chabo. Tutakuchangia wewe.
eeh, mi mavazi napendlea surual zaid, simple shoes, nasuka nywele na mara nyingi napendelea rasta, ctumii mkorogo, napaka revlon lotion na powder tu!
Hahahahaha! Tunataja kila ki2 bana. Au ?hehehe! Swtldy hadi mafuta tunatakiwa kutaja. Lol!
Haya mi napaka bio oil.
Hahahahaha! Tumsamehe cz amesema Sorry!lete poda yako tumpake huyu supa.
</p>Hahahahaha! Tumsamehe cz amesema Sorry!
Hahahahaha! Tunataja kila ki2 bana. Au ?
<p></p>
<p> </p>
basi apwewe walau wanja ampelekee mamaa