Wanajamvi juzi kati nlikua nipo naperuzi tu net nkaona picha ya jezi mpya ya taifa stars yenye logo ya adidas tofauti na ile ya uhlsport tafadhari mwenye picha ya iyo jezi ikionekana vizur afanye aiweke apa...
Swadakta Mtani na Wala Sina Mashaka Na Wewe ktk Uongozi Wako Hapo TFF na Nina Uhakika Utafanya Kitu Kilicho Bora Haswa ktk Soka Letu Na Ukinizungua Tu Wala Sitopata Taabu Ya Kukupata Kwani Nitafunga Safari Hadi Kwa Watani Zangu Mkoani Kagera Kukutafuta Na Kukushtaki ktk Ile Migomba Yenu.................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!