tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
View attachment 176765 Sasa ni miezi mitatu toka boko haramu kuwateka wasichana katika shule moja katika jimbo la bono uko kusini mwa nigeria, na imethibitishwa mpaka sasa hawajapatikana na haijafahamika wapi walipo, vikosi kadhaa kutoka marekani yaani kikosi maalum navy seal" kilipelekwa uko pia vikosi vya jumuiya ya ulaya na hata kundi la kupambana na ugaini la islael pia liliungana kwenda kuwatafuta wasichana hao,lakini sasa ni miezi imepita hamna lolote liliolipotiwa ,kutoka katika oparation dunia tunapenda kujua sambamba na waathirika wa utekaji uwo!
jkt hawa mavi matupu!!!Wakishindwa tuta wapelekea vijana wetu wa JKT wakasafishe.
hata mi nashangaaa mosad,navy seal wanashidwa na kikundi tena cha wanamgambo si bora ingekuwa kikundi cha wanajeshiWatu hapa walikuja na mipasho,ooh navy seal,ooh mossad,mpaka leo kimya.
jkt hawa mavi matupu!!!
Mossad wana kazi moja tu kuangamiza magaidi wa Hamas na makandokando yake.Watu hapa walikuja na mipasho,ooh navy seal,ooh mossad,mpaka leo kimya.
Ile ni tamthilia iliyotungwa na makufar ili kuuchafua uislam kwa mgongo wa boko haram,
Haingii akili nchi ina jeshi tena jeshi imara kitokee kikundi kiwateke raia jeshi lishindwe kuwadhitibiti.
Ni uongo mtupu hao wanaigeria na Makufar wenzao wamerekani
Yan ww udini umekuelemea kabisa mpk mihemko yako unashindwa kuizuiaIle ni tamthilia iliyotungwa na makufar ili kuuchafua uislam kwa mgongo wa boko haram,
Haingii akili nchi ina jeshi tena jeshi imara kitokee kikundi kiwateke raia jeshi lishindwe kuwadhitibiti.
Ni uongo mtupu hao wanaigeria na Makufar wenzao wamerekani
Watu hapa walikuja na mipasho,ooh navy seal,ooh mossad,mpaka leo kimya.
Mossad wana kazi moja tu kuangamiza magaidi wa Hamas na makandokando yake.
Mkuu kwa sasa watu wenye imani kali wanafanya mauaji ya kutisha maeneo mengi dunia kwa kisingizio cha imani na nukuu mbalimbali za aya. Mimi ni muislamu lakini siungi mkono mauaiji yanayofanywa na kundi lolote la kigaidi, mfano ungepata kuziona picha za mauaji yanayofanywa na ISIS huko Iraq naamini ungetokwa machozi! wanaouawa ni waislam wenzetu wanaogoma kujiunga na makundi hayo. Ndugu yangu tufike mahala tukubali kwamba wenzetu wamepotoka, hili swala kusema kuwa ni propaganda za makafir kuuchafua uislam tuachane nalo, ukweli ni kwamba wenzetu wanatuchafua sana.