Nataka fifa16 vipi naweza kupata?, kwa bei gani?.Soma Tangazo letu hapo tunapatikana morogoro watu wote walioko town wanaweza kuwa karibu nasi tuko mazimbu campus/sokoine university
View attachment 456983
arudie kusoma dah. unaambiwa weka tangazo lako vizur Mkuu. lieleweke hats bila ya kurudiaRu
Rudia kusoma mkuu kwenye tangazo hapo utaelewa
bro inatakiwa useme unadeal na kutoa huduma gani.
kiufupi tangazo lako halieleweki wewe ni fundi computer, je unauza computer, je unauza hardware au soft ware.
kaka watu wote tuwe tunamnyanyapaa kweli. tunamwambia vizuri kwa faida yake. tangazo lilikuwa halijaeleweka. kibaya kipi.Acheni kunyanyapaa wenzenu jamani mbona tangazo linaeleweka...
Hapa umeuliza vizuri siku nyingine usiwe mjinga mjinga kama ulivyo andika mwanzo rejea kwenye tangazobro inatakiwa useme unadeal na kutoa huduma gani.
kiufupi tangazo lako halieleweki wewe ni fundi computer, je unauza computer, je unauza hardware au soft ware.