T Tajiri mweusi Member Joined Feb 13, 2012 Posts 61 Reaction score 18 Oct 15, 2015 #1 Habari wanajamvi nimekaa nikawaza sana huyu kamanda wa tanzania mpya katiba ya wananchi Deusi Kibamba amepotelea wapi? kibamba Jitokeze muda wa majeruhi tupate Tanzania mpya
Habari wanajamvi nimekaa nikawaza sana huyu kamanda wa tanzania mpya katiba ya wananchi Deusi Kibamba amepotelea wapi? kibamba Jitokeze muda wa majeruhi tupate Tanzania mpya
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,264 Oct 15, 2015 #2 Ila kama hakubaliani bora kukaa kimya kuliko kuongea mbofumbofu
king'amuzi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 614 Reaction score 225 Oct 15, 2015 #3 kweli huyu jamaa amejitunzia heshima yake kwenye siasa