Jembe ni Jembe na sakata la Hamornize kuhama WCB

Huyo demu ni malaya tu. Demu yoyote anaeacha mwanamme kwa ajili ya mwanamme mwengine sababu ya hela au starehe ni Malaya.
Aslay ndiye alimwacha Tessy,tena binti wa watu hadi alichakaa kwa mawazo enzi hizo ana kitoto kichanga,aslay akawa na mwanamke mwingine ambaye kazaa naye pia
Jembe ni jembe katoka na baby mama wa asaly(Tessy) akiwa ashaachwa na aslay
 
Aslay ndiye alimwacha Tessy,tena binti wa watu hadi alichakaa kwa mawazo enzi hizo ana kitoto kichanga,aslay akawa na mwanamke mwingine ambaye kazaa naye pia
Jembe ni jembe katoka na baby mama wa asaly(Tessy) akiwa ashaachwa na aslay
Ukimwacha demu af akachukuliwa na Mwamba mwingine tena ana mawe kukuzidi lazima ikuume tuuu
 
Na ibrahim masoud maestro
 
Jembe ni Jembe ni Sebastian Ndege aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm miaka ya nyuma na mwanzilishi wa kipindi cha NJIA PANDA cha Cloudsfm.Kama umfahamu vizuri.Tafuta nyimbo ya Leah ya Prince DullySykes alifanya outro.Kitaaluma ni daktari.

Kuhusu Harmonize kuhusishwa kusajiliwa na huyu mwamba ni kweli.Hata show za hivi karibuni za harmonize jamaa ameonekana kusimamia mchezo kama one of the managers and promoter.Inasemekana wanataka kununua mkataba wa harmonize pale usafini.Na ndiyo yeye ambaye Mkubwa Fela anamlalamikia kumvuruga Kondeboy kwa kumwaga mapesa.Na hivi karibuni atafungua TV yake.

Jembe[Sebastian Ndege]inasemekana baadaye alikuja kuzinguana na marehemu Ruge.
 
Sawa Sawa, huyu mwamba kamchukua konde boy, tuone sasa umafia wake
 

Jamaa wa usafini walimtingisha dogo kama anataka kuondoka aweke milioni mia 6 mezani waachane kiroho kesho yake dogo katimba na bmw x6 na milioni mia 6 kwenye buti, diamond akachomoa wayasolve na swahiba yake...mameneja wa usafini wanamchukia sana dogo kwa sababu ameshakuwa mkubwa na hawawezi kum control tena...
 
Mambo ni Moto , Jembe ni jembe kachafua hali ya hewa
 
Dah..

600M kwenye buti.

Only drug dealers wanafanya miamala kwa bulk cash ya namna hii.
 

Una mwandiko kama wa Jembe ni Jembe
 
Jembe ashawah kufanya kazi na kusaga, ila baadae Jembe alipambana sana na kuamua kuanzisha maisha yake
Hajapambana chochote,amemanage tu mabilioni ya insurance kampuni ya babake na walikuja kupata deal la ku-insure mali za CCM nchi nzima.
 
600m uko serious ndgu,yani seba atoe 600m kuwalipa wcb kwa kuvunja mkataba basi harmo ni zaidi ya almasi
 
Hizo tarakimu ni rahisi kuzitaja ila hana uwezo huo hata robo ya hiyo 600m,yaleyale ya mofaya tuliambiwa mzingo unakuja mpka leo hakuna duka unaweza kupata mofaya.wabongo tunapenda kuongeza sifuri sana
Jembe ni jembe mill 600 anazo , labda changamoto yake ni kuhoji experience yake kama ataweza kumanage msanii mkubwa kama Harmonize....Yule Mwamba keshi anayo
 
600m uko serious ndgu,yani seba atoe 600m kuwalipa wcb kwa kuvunja mkataba basi harmo ni zaidi ya almasi

Ha ha mkuu milioni 600 kwa kuvunja mkataba unadhani ni nyingi?unajua anaingiza kiasi gani kwa mwaka?wengi mnadhani dhiki mlizo nazo basi kila mtu anazo, wanaingiza hela aisee huyo harmonize tukisema tuondoe sifuri moja ni ili kuvunja mkataba iwe milioni 60, amini show mbili tuu akifanya analipa, kwa uwekezaji waliofanya wasafi unahisi harmonize kwa potential yake na muda uliobaki kwenye mkataba wake ana thamani gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…