Kwa nini auze hisa zake ?Dola 2,100? . Ukitaka kujua hajaingiza hizo dollar bilioni 15, mwambie auze hisa zake zote ili apate pesa cash akaweke benki, akijaribu ty kufanya hivyo, hizo hisa zitashuka hadi kufikia thamani yake halisi na sio hiyo inflated value.., itashuka mara 1000 kadhaa...
... Make America Great Again! Hiyo slogan sio ya kitoto Mkuu; Trump ni level nyingine. Kumtingisha mchina ni lazima uwe mbabe haswa!....
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...President Trump ameranya vizuri sana kwenye uchumi wa America!
More: Bloomberg - Are you a robot?
Serikali haijakatazaSerikali iruhusu watanzania kununua hisa kwenye makampuni ya nje Kama haya ya Amazon nk tutatajirika haraka na kuzalisha watanzania wengi matajiri
Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.Dola 2,100? . Ukitaka kujua hajaingiza hizo dollar bilioni 15, mwambie auze hisa zake zote ili apate pesa cash akaweke benki, akijaribu ty kufanya hivyo, hizo hisa zitashuka hadi kufikia thamani yake halisi na sio hiyo inflated value.., itashuka mara 1000 kadhaa...
We are like Jack of many traders but master of none.Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.
Sijasema auze, nimesema ukutaka kujua hajaingiza kiasi hicho cha pesa, na kujua thamani halisi ya hizo hisa, basi auze zote apate cash akaweke benki, hata wewe ukutaka kujua thamani ya gari lako,nlipeleke sokoni, hata wakikwambia lina thamani ya milioni 100,peleka sokoni uone lina fetch kiasi gani, na hiyo ndio thamani yake.
Its simple logic, hizo hisa huwezi kwenda dukani kutaka gari, ni lazima uuze upate pesa, sasa tu-assume anataka anunue kitu chenye thamani sawa nahisa zake, siitabidi auze zote, sasa auze zote uone atafetch kiasi gani...Dahhhh, Hivi kuna kitu Watanzania ambacho hatukifahamu.? Naona Mtazania mwezetu amewashinda Mabeberu katika kuchakata utajiri wa Jeff.
Serikali ipi inayokataza kununua hisa kwenye masoko makubwa mkuu?Serikali iruhusu watanzania kununua hisa kwenye makampuni ya nje Kama haya ya Amazon nk tutatajirika haraka na kuzalisha watanzania wengi matajiri
Uhujumu uchumi!Serikali ipi inayokataza kununua hisa kwenye masoko makubwa mkuu?
Unazungumzia mazingira ya biashara Tanzania na vikwazo vyake , au biashara kufikia levels za Amazon au kununua hisa kwenye makampuni makubwaUhujumu uchumi!
Ulianza lini biashara kodi yako mwaka uliyopita ulilipa kiasi gani nani ana kudai !
Cheti cha kuzaliwa unacho!?
Cha Baba na Babu yako!?
Umeunga juhudi kwa kiasi gani!
Unatokea mkoa gani!?
Tunahitaji hesabu zako za TRA za kuanzia mwaka 2001 adi tarehe ya leo!?
Na Gari unayo tembelea kwanini ulilipia ushuru kidogo wakati bei yake inatambulika ata kama ni used ulinunuwa!?
Bank una kiasi gani!
Pesa zako bank umezilipia kodi!?
Je mshahara wako umelipa kodi!?
JARIBU UONE NDIO UTAJUWA KWA NINI KUKU HAKOJOWI!
Mazingira ya biashara Tanzania! Ama vyote kwa pamoja!!Unazungumzia mazingira ya biashara Tanzania na vikwazo vyake , au biashara kufikia levels za Amazon au kununua hisa kwenye makampuni makubwa
Hebu twende taratibu mkuu
Hivi unajielewa wewe mwenyewe kweli?Mazingira ya biashara Tanzania! Ama vyote kwa pamoja!!
Ila Mazingira ni magum kupita maelezo!!
Mfanyabiashara Tanzania ni mhalifu muda wowote hana amani!
We ndio hujielewi amini hivyo! Unahisi una juwa ila hujuwi!Hivi unajielewa wewe mwenyewe kweli?
Trump unamuita mnyonge!?
hiyo misemo itumie uswahilini..
inatosha mazingira yenu....
Sijasema najuwa....hata hapo sijakuelewaWe ndio hujielewi amini hivyo! Unahisi una juwa ila hujuwi!