BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Oct 18, 2012 #1 Hizi vurugu ziendeleazo dar na zenj chanzo chake ni ukosefu wa ajira kwa watanzania, wala sii za kidini
Hizi vurugu ziendeleazo dar na zenj chanzo chake ni ukosefu wa ajira kwa watanzania, wala sii za kidini
N nummy JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 587 Reaction score 166 Oct 18, 2012 #2 Ni kundi la watu wanataka kutuchanganya hao si waislamu wala wakristo watanzania tuelewe hivyo