Jeans Kali kwa 17000

Jeans Kali kwa 17000

Maple7

Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
13
Reaction score
7
Wakuu naomba mniungishe nauza jeans za kiume kwa bei Chee good quality kwa jumla pia unapata 0753057000
IMG_20220921_000113_875.jpg
IMG_20220921_062546_087.jpg
IMG_20220921_165245_509.jpg
 
Unapatikana wapi?
Unafanya delivery?
Mfumo wa malipo ukoje?
Bei inapungua kwa wholesale?

Toeni taarifa kamili sio kila mtu anapenda kujaza contacts kwenye simu....
Napatikana kinondon DSM
Ndio delivery ipo
Unalipa kwa simu au ukiletewa
Unataka pcs ngapi mkuu?
 
Kijana Maple7 nataka mbili, blue na black flani.. weka sample za kutosha, navaa 36
 
Back
Top Bottom