Myahudi Jr II JF-Expert Member Jan 7, 2016 6,703 8,481 Sep 6, 2021 #21 After an error made by his anesthesiologist, he suffered a bronchospasm which starved his brain of oxygen and he slipped into a coma.[15][16][17] Daaahhhh
After an error made by his anesthesiologist, he suffered a bronchospasm which starved his brain of oxygen and he slipped into a coma.[15][16][17] Daaahhhh
Patra31 JF-Expert Member Apr 24, 2020 6,752 13,401 Sep 6, 2021 #22 Aisee!!!? Acha tu nisema Mungu naomba siku moja unijalie mwanamke wa aina ya mke wa Adam Pierre "AMEN"
Aisee!!!? Acha tu nisema Mungu naomba siku moja unijalie mwanamke wa aina ya mke wa Adam Pierre "AMEN"
Hardlife JF-Expert Member Apr 11, 2021 2,752 6,248 Sep 6, 2021 #23 Huyu mke wake ndio anatakiwa kuwa Mwanamke Shujaa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,588 188,807 Sep 6, 2021 #24 Bongo nyoso wengi wamezikwa wakiwa katika coma.
financial services JF-Expert Member May 17, 2017 17,139 40,705 Sep 6, 2021 #25 R.I.P! Huyo mwanamke ni wa kuigwa aisee kapambana 39yrs
CARDLESS JF-Expert Member Apr 2, 2017 7,786 15,732 Sep 6, 2021 #26 Afrika unazikwa.. Hatuna wataalam wa kutosha wa kuweza kuthibitisha kifo, wengi wanazikwa wakiwa wazima.
Afrika unazikwa.. Hatuna wataalam wa kutosha wa kuweza kuthibitisha kifo, wengi wanazikwa wakiwa wazima.
Its Pancho JF-Expert Member Sep 21, 2018 14,238 22,667 Sep 6, 2021 #27 Naombeni namba ya tigopesa ya huyo mama
Edson JF-Expert Member Mar 7, 2009 9,846 5,076 Sep 7, 2021 #28 escrow one said: Huyo mama apewe tuzo na sanamu ajengewe. Click to expand... Kabisa