Nakunaliana na wewe Zitto anakilisha CDM na hata kama Zitto anaonyesha kujitoa mahanga indirirect atajenga jina lake lakini direct ni lazima jina la chama lipae.
So obvious, madudu ya mawaziri wa CCM ni madudu ya serikali licha ya kuonekana hawafai.
Nashauri tu Zitto watanzania tufunge na kuomba asidhurike na magamba maana wanaamini sana katika shirki na umafia.
Naanza hapa, Eeeeeh Mungu uliyeumba mbingu na ardhi kwa siku saba, na kisha ukaridbia mwanadamu awepo duniani, mlinde mbunge wetu Zitto kabwe na hila zote mbaya za wabaya wake.
Mpe ujasiri na uwaumbue wabaya wake mchana kweupe ili wajue fitna zina mwisho na mkuu wa fitna ni wewe na ndiyo maana ulimtupa Ibilisi mpaka shimoni Jahanam.
Ameni.