Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,617
- 2,267
Unaweza usimruhusu kufanya hayo yote nabado akatoka..
Si kwakumfuatilia ila kumkuta kwa bahati tu, unaweza kuchukulia poa!?
Mimi siwezi, wewe je!!?
Naweza kuruhusu bia yangu aonje mtu mwengine
Nimeongelea kumkuta kwa bahati, sikwakumfuatia, inafaa kupotezea!?Huo muda unakua Umekosa kazi nyingine za Kufanya ?
Presha nyingine za kujitafutia tu.