Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,036 Reaction score 168,666 Nov 18, 2012 #1 Mimi ninacho amini ni kwamba kiumbe katili sana duniani ni mwanamke...........na kiumbe mwenye huruma ni mwanamke.
Mimi ninacho amini ni kwamba kiumbe katili sana duniani ni mwanamke...........na kiumbe mwenye huruma ni mwanamke.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Nov 18, 2012 #2 naomba maana ya ukatili na vitu gani vinahesabiwa ukatili ili twende sambamba. Maana kwa wengine ufisadi ni katili, wengine kutoa mimba, wengine kuua. Hebu dadavua zaidi
naomba maana ya ukatili na vitu gani vinahesabiwa ukatili ili twende sambamba. Maana kwa wengine ufisadi ni katili, wengine kutoa mimba, wengine kuua. Hebu dadavua zaidi
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,832 Nov 18, 2012 #3 Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma (Yawezekana) Lakin Huo Ukatili Na Huruma Ni Ktk Mambo Gani Hasa? Maana Anaweza Kuwa Katili Akiharibiwa Kazi Zake Binafsi,Pia Akawa Na Huruma Ktk Mahusiano Ya KiMapenzi!! ....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani?
Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma (Yawezekana) Lakin Huo Ukatili Na Huruma Ni Ktk Mambo Gani Hasa? Maana Anaweza Kuwa Katili Akiharibiwa Kazi Zake Binafsi,Pia Akawa Na Huruma Ktk Mahusiano Ya KiMapenzi!! ....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Nov 18, 2012 #4 mhhnnn........
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Nov 18, 2012 #5 Kuna viumbe waliokuwa makatili zaidi ya makaburu wa Afrika Kusini...kuanzia watoto, kaka zao, dada zao, mama zao na baba zao? Mwanamke akipendwa hawi katili...
Kuna viumbe waliokuwa makatili zaidi ya makaburu wa Afrika Kusini...kuanzia watoto, kaka zao, dada zao, mama zao na baba zao? Mwanamke akipendwa hawi katili...
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,036 Reaction score 168,666 Nov 18, 2012 Thread starter #6 huyu katili, yule anahuruma. sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili Majigo said: Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma? ....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani? Click to expand...
huyu katili, yule anahuruma. sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili Majigo said: Ndugu Yangu Mbona Kigeugeu!!?..Awe Katili... Vilivile Awe Na Huruma? ....Kwa Hiyo Wanaume Wako kundi Gani? Click to expand...
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,832 Nov 18, 2012 #7 giLESi said: huyu katili, yule anahuruma. sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili Click to expand... hujawahi Ona Mtu Anakuwa Na Huruma Ktk Mahusiano Na Mpenziwe, Lakini Huyohuyo Ni Katili Kwa Mtumishi/Watumishi Wake Kazin? Dadavua Mkuu..Sijakupata!!
giLESi said: huyu katili, yule anahuruma. sio mtu huyohuyo mmoja ana sifa zote mbili Click to expand... hujawahi Ona Mtu Anakuwa Na Huruma Ktk Mahusiano Na Mpenziwe, Lakini Huyohuyo Ni Katili Kwa Mtumishi/Watumishi Wake Kazin? Dadavua Mkuu..Sijakupata!!