Hayo ni mawazo yako na mawazo yako ni yako sio ya wote, usifikirie mawazo yako ni ya wote.
Binafsi mpaka leo sijajiandikisha ila leo ntajiandikisha na nashukuru Serikali kwa kuongeza muda maana Watanzania wa sasa wapo bize na kazi.
Kawaulize walioongeza muda.Yapi matokeo ya kususa?
Wako bize na kazi eeeh! kwa hiyo miaka mingine hawakuwa na kazi sasa awamu ya 5 imeleta kazi kwa kila raia wa 18+?Hayo ni mawazo yako na mawazo yako ni yako sio ya wote, usifikirie mawazo yako ni ya wote.
Binafsi mpaka leo sijajiandikisha ila leo ntajiandikisha na nashukuru Serikali kwa kuongeza muda maana Watanzania wa sasa wapo bize na kazi.
Huku ni kupanic na roho kukuuma duhHayo ni mawazo yako na mawazo yako ni yako sio ya wote, usifikirie mawazo yako ni ya wote.
Binafsi mpaka leo sijajiandikisha ila leo ntajiandikisha na nashukuru Serikali kwa kuongeza muda maana Watanzania wa sasa wapo bize na kazi.
Yapi matokeo ya kususa?
!!!!???????!!!!!!!!ABRACADABRAHayo ni mawazo yako na mawazo yako ni yako sio ya wote, usifikirie mawazo yako ni ya wote.
Binafsi mpaka leo sijajiandikisha ila leo ntajiandikisha na nashukuru Serikali kwa kuongeza muda maana Watanzania wa sasa wapo bize na kazi.
Awamu hii kwa kujipa ujiko hamjambo. Kwa hiyo awamu zilizopita wananchi hawakuwa bize na kazi?!Hayo ni mawazo yako na mawazo yako ni yako sio ya wote, usifikirie mawazo yako ni ya wote.
Binafsi mpaka leo sijajiandikisha ila leo ntajiandikisha na nashukuru Serikali kwa kuongeza muda maana Watanzania wa sasa wapo bize na kazi.
Hali ngumu ya maisha watu wakiamka wana waza watakula nini leo wapo bize kutafuta rizikiHivi yawezekana hii ikawa ni hulka ya ya watu wa taifa hili?
Kwamba, watanzania hawakuchukua silaha kukabiliana na watawala wa kikoloni katika kudai uhuru wao, bali waliipigania haki yao kimyakimya bila sauti ya mtutu kusikika.
Hata Mzee Mandela alipomjulisha Mwalimu juu ya azma ya ANC kuchukua silaha dhidi makaburu, bado mzee wetu hakuukubali mpango huo!
Sasa ninapouona uchache wa kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura; najiuliza, je, huku ndiko kudai haki hii nayo kimyakimya?
Haki ya uhuru wa kujiamulia mambo. Uhuru wa kuchaguana, kuchagua, na kuchaguliwa.
Eti labda ndiyo imesababisha watu wengi wameacha kwenda kujiandikisha kama wanavyosema baadhi ya wadau.
Kama si sababu nyingine iliyopelekea; sasa yawezekana wabongo wakayafundisha mataifa mengine kwamba; kudai chako sio lazima ufanye magomvi?
Wadau hili mnalionaje?