Je wajua?!!

Kijiweni

Member
Joined
Feb 23, 2010
Posts
24
Reaction score
1
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya:

2010/15
1.JK-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.Pinda-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

2015/20
1.Lowasa-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.H.Mwinyi-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

Habari ndio hiyo, lamda augue mtu.
 
Kwa kuwa mnahatimiliki ya taifa hili eeh
 
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya:

2010/15
1.JK-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.Pinda-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

2015/20
1.Lowasa-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.H.Mwinyi-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

Habari ndio hiyo, lamda augue mtu.

mambo ya mdudu mtu hakuna kitu
 
endeleeni kukufuru mungu.... maana mshawapangia uhai hao watu, tena uhai wa kudumu!!!! tusije tafutana ubaya badae wakati mungu akiamua kuchukua maua yake
 
Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee tena acha unatutia asira!!!
 
Speculation kwa Watanzania ni jambo la kawaida. Hata kwenye michezo mengi huandikwa kabla ya mchezo game likija tunachapwa kiboko.
 
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya:

2010/15
1.JK-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.Pinda-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

2015/20
1.Lowasa-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.H.Mwinyi-PM
4.Shein-Rais wa zenj.

Habari ndio hiyo, lamda augue mtu.

b...shit..
 
Hivi na yale ya Mama Meghji kuwa VP yameishia wapi?!
 
Na PM kutoka upinzani je? refer utabiri wa sheikh Yahya haa haa haaa!
 
Ushindwe na ulegee....koma tena koma
 
jamani mzee wa kijueni, mafuta mchakachue na hata utawala wa nchi mnataka kuchakachua???????? raha ni nini hadi mchakachue?
 

.
Uu mwanafunzi wa chuo cha sheikh Yahya au?
 

Mkuu, u r almost there 🙂 .... utabiri wangu ni huu:

2015/20
1.Karume-Rais wa URT
2.Lowassa-VP wa URT
3.Membe-PM
4.H.Mwinyi-Rais wa zenj.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…