M.2 Member Joined Nov 29, 2013 Posts 14 Reaction score 3 Dec 5, 2013 #1 Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone
Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone
J Jino Kwajino Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 191 Reaction score 39 Dec 6, 2013 #2 M.2 said: Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone Click to expand... Weka picha na utuambie iko mtaa gani?
M.2 said: Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone Click to expand... Weka picha na utuambie iko mtaa gani?
Githeri JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 811 Reaction score 341 Dec 6, 2013 #3 Mhhh!! Habari haijakamilika, taja jina la hotel. Ili ukweli na uongo ujitenge.
kimpe JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 911 Reaction score 862 Dec 7, 2013 #4 Mwenyewe nafahm mbna toka kitambo hotel inaitwa lupita ipo kipili nkas hko