Je wajua kuna kimondo kinaitwa Psyche, ambacho kimeundwa kwa madini ya dhahabu, chuma, nikeli na platinum... Kinakadiriwa kuwa na thamani ya $700 quantillion! Ambapo kikiletwa duniani na kugawanywa kwa idadi ya watu wote takribani billion 7, kila mtu anakuwa billionea! Kipo kati ya Mars na Jupiter na wanasayansi wanategemea kupeleka satelaiti ifikapo 2022 na kuwasili 2026. Mpaka sasa hakuna project ya kuchimba vimondo ila inatarajiwa kufika 2030 kutakuwa na kampuni ya kufanya kazi hiyo (Asteroid mining company)...
manengelo