Je wajua kuwa uchi wa mwanamke au uke una uwezo wa kutanuka/expand mara mia mbili (200) zaidi kutoka hali yake ya kawaida?
Science imethibisha hilo so kwa wale wanaojiita wanaume mashine kwa nch 8 walizo nazo wasifikiri yakuwa wanaweza mkomoa mwanamke.
Tupia na je wajua yako yuweze kujifunza mengi!
NB,
Je wajua zilizothibitishwa kisayansi zitapendeza zaidi ili tuendelea kujifunza yaliyo ya kweli.
Sent using
Jamii Forums mobile app