Wajua kuwa lugha ya kiarabu inaongoza duniani kwa kuwa na waongeaji wengi ikiwa na idadi ya watu milioni 170 ikifuatiwa na Kiingereza watu milioni 130 na Ufaransa watu milioni 115?.
Sio kweli wew nadhani umesimuliwa Singida hakuna tatizo kubwa sn la maji kama Shinyanga ,Tabora.kwan singda watertable zipo karibu zaid ya mikoa mingine..japo haina mito kama moshi Arusha,rukwa mby,songea na iringa lkn kuna underground livers ambapo unaweza kusupply maji meng zaid hata vijijin..wilaya ya manyon pekee ndio ina shida ya maji lkn tatizo lk wekewa nguvu ya ziada mambo mazur
Je wajua jamiiforum iliundwa mwaka 2006 ikijulikana kama jamboforums na mnamo mwaka 2008 may jina likabadilishwa kuwa Jamiiforums ya leo!
Je wajua hawa member wafuatao watano ndiyo moja ya wamiliki wa kwanza kabisa wa account hapa Jamiiforums!
1. Maxence Melo -feb 10 2006
2. Invisible -Feb 11 2006
3. Kitila Mkumbo Feb 25 2006
4. Mkandara -Mar 2 2006
5. Mzee Mwanakijiji -Mar 9 2006