MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Dec 23, 2016 #1,421 Watu wa huko watakuwa ni matajiri sana
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 23, 2016 #1,422 MKWEPA KODI said: Watu wa huko watakuwa ni matajiri sana Click to expand... Hazina dili kule kama maji tu huku!
MKWEPA KODI said: Watu wa huko watakuwa ni matajiri sana Click to expand... Hazina dili kule kama maji tu huku!
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Dec 23, 2016 #1,423 Secret Star said: Hazina dili kule kama maji tu huku! Click to expand... Basi watakuwa wanachezea bao kama babu zetu kule shinyanga walivyokuwa wanachezea bao
Secret Star said: Hazina dili kule kama maji tu huku! Click to expand... Basi watakuwa wanachezea bao kama babu zetu kule shinyanga walivyokuwa wanachezea bao
DUME SURUALI JF-Expert Member Joined Dec 8, 2016 Posts 782 Reaction score 1,085 Dec 23, 2016 #1,424 LETE PICHA
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,780 Dec 23, 2016 #1,425 DUME SURUALI said: LETE PICHA Click to expand... kama una uhakika, weka link siyo blabla tu
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 23, 2016 #1,426 Safari Safi said: kama una uhakika, weka link siyo blabla tu Click to expand... Hahaa mnataka mfunge safari muende mkakinge utajiri
Safari Safi said: kama una uhakika, weka link siyo blabla tu Click to expand... Hahaa mnataka mfunge safari muende mkakinge utajiri
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Dec 23, 2016 #1,427 Kwa Hali ya maisha saiz mshana nipe ungo Niende zangu
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 23, 2016 #1,428 Duniani lulu yetu kubwa na Maji kosa maji siku kumi uone kama utakunywa Almas! Hapo nipo utaamini creator ana makusudi Attachments 1482474571163.jpg 7 KB · Views: 88
Duniani lulu yetu kubwa na Maji kosa maji siku kumi uone kama utakunywa Almas! Hapo nipo utaamini creator ana makusudi
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 23, 2016 #1,429 Mkushi wa kusi said: Kwa Hali ya maisha saiz mshana nipe ungo Niende zangu Click to expand... Utafia hukohuko na ungo wako!
Mkushi wa kusi said: Kwa Hali ya maisha saiz mshana nipe ungo Niende zangu Click to expand... Utafia hukohuko na ungo wako!
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 23, 2016 #1,430 ISIS said: Nimeipenda hii Click to expand... Niliipenda pia//
American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 699 Reaction score 1,041 Dec 24, 2016 #1,431 Bujibuji said: Tuna kapikapu ketu ka Kirikou Click to expand... mzee hazizoleki zile kutokana na Gesi kali iliyopo huko, kias kwamba wewe na Pikapu mtageuka almasi pia!
Bujibuji said: Tuna kapikapu ketu ka Kirikou Click to expand... mzee hazizoleki zile kutokana na Gesi kali iliyopo huko, kias kwamba wewe na Pikapu mtageuka almasi pia!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Dec 24, 2016 #1,432 American nigga said: mzee hazizoleki zile kutokana na Gesi kali iliyopo huko, kias kwamba wewe na Pikapu mtageuka almasi pia! Click to expand... Lakini barabara ya kwenda huko si ni ya lami daraja LA standard gauge?
American nigga said: mzee hazizoleki zile kutokana na Gesi kali iliyopo huko, kias kwamba wewe na Pikapu mtageuka almasi pia! Click to expand... Lakini barabara ya kwenda huko si ni ya lami daraja LA standard gauge?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Dec 24, 2016 #1,433 Mmmh source ya hii taarifa ni nini?
American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 699 Reaction score 1,041 Dec 24, 2016 #1,434 Katavi said: Mmmh source ya hii taarifa ni nini? Click to expand... Nenda google [HASHTAG]#NASA[/HASHTAG] ukasome, vipi unataka kwenda nini?
Katavi said: Mmmh source ya hii taarifa ni nini? Click to expand... Nenda google [HASHTAG]#NASA[/HASHTAG] ukasome, vipi unataka kwenda nini?
American nigga JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 699 Reaction score 1,041 Dec 24, 2016 #1,435 Bujibuji said: Lakini barabara ya kwenda huko si ni ya lami daraja LA standard gauge? Click to expand... Yah yah
Bujibuji said: Lakini barabara ya kwenda huko si ni ya lami daraja LA standard gauge? Click to expand... Yah yah
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,203 Dec 24, 2016 #1,436 Secret Star said: Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas? Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi. Click to expand... He!Kumbe kweli!! Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa
Secret Star said: Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas? Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi. Click to expand... He!Kumbe kweli!! Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa
Eng Godfrey lupimo Senior Member Joined Sep 3, 2016 Posts 148 Reaction score 76 Dec 24, 2016 #1,437 Mungu bariki tzania na watu wake
Secret Star JF-Expert Member Joined Jul 1, 2011 Posts 1,830 Reaction score 2,005 Dec 24, 2016 #1,438 kishaija said: He!Kumbe kweli!! Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa Click to expand... Ni kweli sema hakuingiliki! Ni marekani peke yao ndio wanaweza kuzichota hizo kitu magunia kwa magunia na kuyaleta duniani
kishaija said: He!Kumbe kweli!! Nilikuw nasubir wachangiaji wapinge lakn sijaona hata mmoja had sasa Click to expand... Ni kweli sema hakuingiliki! Ni marekani peke yao ndio wanaweza kuzichota hizo kitu magunia kwa magunia na kuyaleta duniani
zinginary JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 2,486 Reaction score 1,712 Dec 24, 2016 #1,439 mshana jr said: Halafu dunia ni citric na amino acids Click to expand... Sulphuric acid na carboxylic acid...ah ah
mshana jr said: Halafu dunia ni citric na amino acids Click to expand... Sulphuric acid na carboxylic acid...ah ah
StraTon MemPhis GhaZar JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 592 Reaction score 390 Dec 24, 2016 #1,440 Secret Star said: Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas? Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi. Click to expand... Sijui.... na ni uongo uliotukuka km hadith za abunuasi...... marekani angekua kila siku anahangaika kutengeneza mitambo.. akaichote iyo almasi ..... almasi unaijua wewe
Secret Star said: Je wajua kuwa Sayari ya Jupiter na Saturn hunyesha mvua ya Almas? Huku Venus ikinyesha mvua ya Sulphuric acid pamoja na radi. Click to expand... Sijui.... na ni uongo uliotukuka km hadith za abunuasi...... marekani angekua kila siku anahangaika kutengeneza mitambo.. akaichote iyo almasi ..... almasi unaijua wewe