Acha uvivu wa kufikiri basi mkuu, inamaana pia bado haujui thread inazungumzia mbu wa jinsia gani? Na haujui Jinsia ya mbu wanaoeneza hayo magonjwa.....??? Are you serious?
Acha uvivu wa kufikiri basi mkuu, inamaana pia bado haujui thread inazungumzia mbu wa jinsia gani? Na haujui Jinsia ya mbu wanaoeneza hayo magonjwa.....??? Are you serious?
Kuna mbu wanaosababisha magonjwa mbalimbali kama vile:-
1. Malaria
2. Zika
3 . mabusha
N.k. sasa wewe unazungumzia mbu wanaosababisha ugonjwa upi?, tuanzie hapo ili tujue jinsi ya kukuelimisha kulingana na upeo wako
kuna maswali mengi yasiyo na majibu kuhusu maisha na ubinadamu Duniani. Kwa mfano, watafiti bado hawajui hasa ni kwanini wanadamu huota ndoto.
Hakuna anayejua hasa kwanini wanadamu hutoa machozi ya kicheko, furaha, huzuni. Kuna aina nyingi za machozi, lakini machozi ya hisia ni ya kipekee kwa binadamu.
Na hata kama muda ni kama sehemu muhimu ya maisha, hakuna mtu anayeweza kuelezea ni lini ulianza au ni lini itakuwa mwisho. Baadhi huamini wakati ni ulitungwa na binadamu, na wengine wanaamini kwamba wakati ulikuwepo muda mrefu kabla ya wanadamu kutunza kumbukumbu yake.
Dunia imekuepo kwa muda mrefu sana. Wanasayansi wamekadiria umri wa dunia kuwa ni miaka bilioni 4.55.
Asilimia 71 ya uso wa dunia imefunikwa na maji, watafiti wanakadiria kuwa ni chini ya 5% ya hiyo imeonekana kwa macho ya binadamu. nyingine bado haijawahi kuonwa na binadamu.