Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia
je wajua obama tangu amekuwa raisi hajawahi kufika kenya na hatazamiwi tena kukanyaga kenya mpaka atoke madarakana huku aliitembelea ghana anakotoka mkewe
Je wajua binadamu hadi kufa kwa wastani anakua ametembea kuizunguka dunia mara mbili!!!!!! kama ukiunganisha umbali wote aliotembea siku za uhai wake!!
Je wajua Pablo Escobar ndio alikuwa muuza dawa za kulevya aliyekuwa na pesa nyingi duniani mpaka alipofariki mwaka 1993. Alikuwa anatumia USD 1000 kwa wiki kununua rubber band kwaajili ya kufungia hela zake. Pia aliteketeza zaidi ya 10% ya pesa yake iliyoliwa na panya?
Siku aliyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.
Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja.
Je wajua Mwanamuziki Mkongwe wa Hispania Julio Eglisias ambaye ni Baba wa Enrique Eglisias alikuwa mchezaji wa Real Madrid kwa nafasi ya goalkeeper hadi hapo alipopata ajali ya gari na kuumia miguu na hakuwa na uwezo wa kucheza tena. Hata hivyo alikuwa hana cha kufanya ndipo nesi akamtafutia gitaa la kumliwaza na jamaa ndio akawa mwanamuziki kuanzia hapo?