je wajua ukitenganisha DNA moja kutoka mwilini mwako na kuivuta bas itakuwa na urefu wa mita 2..na ukitoa DNA za mwili wote na kuziunganisha utapata urefu zaidi ya kipenyo(diameter) cha ulimwengu mzima
ndoroooooboooo leo nimeota natoka bk napanda ndege kwenda Marekani na nikakutana na Rick Ross tukapanda Rolls roys mpaka kwa Mayback musik group nikatia voko ..wakati naimba nikapaza sauti mpaka mke wangu anacheka..
Je wajua mnamo mwaka 1978 aliyekuwa raisi wa Afghanistan alitangazwa kwenye radio ya taifa kuwa amestaafu kutokana na afya yake, lakini ukweli ni kuwa aliuwawa na jeshi (military coup)
Je wajua kuwa ukitaka kujua kama demu ana mtoto au aliwahi kubeba mimba basi mkaribishe kwa chai na mkate, kwa vyovyote vile atakataa na ataomba kitafunwa kingine kama kipo,kama hakipo yyuko radhi kunywa chai kavu kuliko kula mkate, fuatilia

Je, wajua katika historia ya maisha yako wewe ndiye mwenye kuweza kufanya hukumu kwa kiongozi mkuu wa nchi?
Jipange kwa kufanya hukumu hiyo ni 0ct.25.2015