Kwanza utambue simba ndiye Mkuu wa pori na hakuna anayesimama mbele yake. Na wakiwa na njaa simba ni balaa. Mara chache tembo au nyati dume mkubwa anaweza kupigana hasa simba akiwa mmoja. Mbwa mwitu hutembea kundi na mara nyingi simba anaogopa kupigana nao na pia siyo kitoweo chake bora