Yoote hayo,sijui kama wenzangu mlidanganywa kama mie au ni utafiti wa enzi za utoto.
Kwamba kiboko ya Tembo ni sisimizi,yaani at age of 5 - 12 miaka hiyo ndio ilikuwa story zetu.
Kwamba sisimizi akiingia sikioni basi Tembo anajipigiza hadi anakufa.
Aiseeee,sasa kwa maana hiyo Kigoko ya Simba na watemi wenzie ni Sisimizi.