JE WAJUA,kuwa jamii ya wamasai ndiyo inayoongoza kwa kuwa na walemavu wachache mnooo na hata zeruzeru kuliko jamii zingine zote? Ni sawasawa na hawapo! "Tafiti kutoka kwa researcher muingereza aliyeishi Nairobi"
Je wajua Cleopatra aliyekuwa kiongozi Misri ndiye mwanamke mzuri/mrembo kuliko wote duniani pamoja na kuzaa watoto na hatatokea tena kama yeye? Source: soma Biblia takatifu.
Je wajua viboko ni wanyama ambao wanapata tabu sana(ni zaidi ya adhabu) pale wanapochomwa na jua kiasi kwamba kunapokuwa na jua muda wao mwingi wanautumia wakiwa majini(ndani ya maji) huku pua zao zikiwa wanazichomoza kiasi kwa nje ili kupata hewa safi