ex:nahjat tengeneza app ya android ambayo itakuwa inafanya kazi record za wanafunzi na kuzihofadhi pamoja nasura like regestration app ila nahtaj itambue binadamu na mnyama.Hapana, hybrid Apps zenyewe zinatumia HTML, CSS na Javascript.
Officially lugha ya Android ni Java na C kama unahitaji baadhi ya function ziwe na spidi zaidi.
PHP unaweza kuitumia kutengeneza backend ya mobile app yako, yaani ile server inayoongea na App kuipa data.