Ebwana nimekumbuka baadhi ya majina ya wadau niliopata kuwafahamu kipindi cha nyuma. Wengine walikuwa waalimu zangu, majirani zangu etc.
Ila sikumbuki kabila zao na maana ya majina yao.. Tusaidiane
Majina
1. Kitenya
2. Mng'anya
3.Kiabwazi - mwalimu pale usagara
4.Kipingu
5. Kimbute
6. Nyanzobe
7.Kipumbu Kitizo
8. Itutukigi- mchezaji mpira enzi hizo
9. Kabwela
10.Ng'alabushi
11.Luponyandigi- Mwanafunzi mazengo tech enzi hizo
12. Kamugisha
13. Maunga- Kakamatwa na unga juzi juzi
msambaa wa Tanga4.Kipingu
hili limekaa kisukuma zaidi12. Kamugisha
hili limekaa kisukuma zaidi
Kamugisha ni Mhaya bila shaka
hili limekaa kisukuma zaidi
7.Kipumbu Kitizo
Majina
6. Nyanzobe
ni nini hasa maana ya Gamutu, niliwahi kusoma kwenye vigazeti vya sani , miaka ya 1980 mwishoni.....Jah Kimbute... haha hahaha nimekumbuka zamani sana, enzi za magamutu