Je unaweza kutambua kabila la majina haya? na Maana zake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je unaweza kutambua kabila la majina haya? na Maana zake?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ogm12000, Feb 18, 2010.

 1. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ebwana nimekumbuka baadhi ya majina ya wadau niliopata kuwafahamu kipindi cha nyuma. Wengine walikuwa waalimu zangu, majirani zangu etc.

  Ila sikumbuki kabila zao na maana ya majina yao.. Tusaidiane


  Majina

  1. Kitenya

  2. Mng'anya

  3.Kiabwazi - mwalimu pale usagara

  4.Kipingu

  5. Kimbute

  6. Nyanzobe

  7.Kipumbu Kitizo

  8. Itutukigi- mchezaji mpira enzi hizo

  9. Kabwela

  10.Ng'alabushi

  11.Luponyandigi- Mwanafunzi mazengo tech enzi hizo

  12. Kamugisha


  13. Maunga- Kakamatwa na unga juzi juzi
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 42,116
  Likes Received: 37,540
  Trophy Points: 280

  Jah Kimbute... haha hahaha nimekumbuka zamani sana, enzi za magamutu
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  msambaa wa Tanga​
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hili limekaa kisukuma zaidi
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  oya acha uongo wewe, hilo jina ni la Kihaya!!
   
 6. Bavuvi

  Bavuvi Member

  #6
  Feb 18, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kamugisha ni Mhaya bila shaka
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Matusi kwenye mhadhara ya nini tena ndugu?? Unaleta joke nzuri lakini unaiharibu mwenyewe kwa kutojikimu!
   
 8. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 520
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Ili kama sikosei ni la kinyamwezi!!
   
 9. Theodora

  Theodora JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2010
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 526
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  :(
  Jina la ishomire...
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,936
  Likes Received: 384
  Trophy Points: 180
  wakati tupo shule, majina hayo ya kibantu tukiyaita botanical names, kwa wale waliosoma agriculture wanajua nini maana ya botannical names
   
 11. ogm12000

  ogm12000 JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kaka sio joke hilo jina nilisikia wakati niko Morogoro miaka ya nyuma kidogo. Kuna jamaa alikuwa anaitwa jina hilo.
   
 12. r

  remigi New Member

  #12
  Feb 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mng'annya ni neno la kichaga
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Feb 22, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,891
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  ni nini hasa maana ya Gamutu, niliwahi kusoma kwenye vigazeti vya sani , miaka ya 1980 mwishoni.....
  gamutu pula malapa musosi please.....................Rest In Peace mzee Said Salim Bawji.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...