Je, Unataka pesa chap chap na kihalali??

Joined
Nov 20, 2016
Posts
13
Reaction score
7
Ninatengeneza na kuuza ndala/Viatu nzuri na Makapeti ya kufuta uchafu miguuni
Rejareja na Jumla.
Rejareja Piece 1 = 3000/=
Jumla Piece 1 = 2600/=
Kapeti Piece 1 =5000/=
0717 872 020
 

Attachments

  • 010.JPG
    71.2 KB · Views: 78
Mhhhhhh hizo si ndala za mtumba umeongeza shanga tu?
Hata hivyo bei yako ni sawasawa na ninunuazo mtumbani.
Anyways...biashara njema mkuu.
 
Mhhhhhh hizo si ndala za mtumba umeongeza shanga tu?
Hata hivyo bei yako ni sawasawa na ninunuazo mtumbani.
Anyways...biashara njema mkuu.
nikweli lakini za aina hii huzipati kokote ispokua kwangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…