Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Gharama ya ku appeal ni kiasi gani?
Well, mchango mzuri umetoa kaka.
Kimsingi watu wanakata rufaa kwa kuwa vielelezo walivyovitoa mwanzo, kozi walizopangiwa be it priority or non- prriority na hali zao kiuchumi walizozieleza zimepuuzwa ama kutochukuliwa kuwa ni za kweli.
Anyways, asante kwa kutupatia japo mwangaza wa nini kitafuata kufuatia suala la ukataji rufaa.
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla huja appeal ni "why u ddnt secure a loan?" and "why are u appealing"
Form ya ku-appeal (itapatikana katika web ya heslb) itakutaka wewe mwombaji useme ni kwa nini unadhani unahitaji mkopo. Itakutaka kuambatanisha document muhimu zinazonyesha kuwa hali yako ya maisha imebadilika toka kipindi unaomba mkopo, mfano labda mzaz wako amefariki hapa katikati (kutoka deadline ya maombi ya mwanzo hadi sasa). Kumbuka kuwa bodi wanazo sababu wanazozijua wao za kukunyima mkopo hivyo basi itakupasa wewe uwathibitishie kwamba kweli una uhitaj wa mkopo.
NB: usipoteze hela yako kama hauna any supporting document that shows your life status has changed and u ril need the loan, trust me utatuma na bado utakosa tena!
Umesema ili uappeal uwe na sababu muhimu kama kifo kwenye mabano ukaeka tokea kipind cha deadline mpaka kutoka matokeo, sasa sisi wengne tumefiwa toka tupo olevel tena tukiwa katika shule za serikal, na vyet vyote nlipeleka, ntakua na sababu gan nyengne ya kuwaconvince, mana kuna wenzangu same course, same qualification, same university na wanao wazaz wao kamili wao wamepata
hizo form lini zinatoka?Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla huja appeal ni "why u ddnt secure a loan?" and "why are u appealing"
Form ya ku-appeal (itapatikana katika web ya heslb) itakutaka wewe mwombaji useme ni kwa nini unadhani unahitaji mkopo. Itakutaka kuambatanisha document muhimu zinazonyesha kuwa hali yako ya maisha imebadilika toka kipindi unaomba mkopo, mfano labda mzaz wako amefariki hapa katikati (kutoka deadline ya maombi ya mwanzo hadi sasa). Kumbuka kuwa bodi wanazo sababu wanazozijua wao za kukunyima mkopo hivyo basi itakupasa wewe uwathibitishie kwamba kweli una uhitaj wa mkopo.
NB: usipoteze hela yako kama hauna any supporting document that shows your life status has changed and u ril need the loan, trust me utatuma na bado utakosa tena!
yawapasa mjaribu na kufikiria pia njia mbadala endapo mtakosa mkopo kabisa. Msikate tamaa, maisha yataenda tu! I ddnt secured a loan but here I am today! I've graduated ths year! T was so hard but with GOD grace I've succeded and achieved ma goal! Dont give up, TANZANIA needs you!
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, rufaa ni haki ya mwombaji yeyote ambaye atakuwa hajaridhika na matokeo ya kwanza, lakini jambo la muhimu la kujiuliza kabla huja appeal ni "why u ddnt secure a loan?" and "why are u appealing"
Form ya ku-appeal (itapatikana katika web ya heslb) itakutaka wewe mwombaji useme ni kwa nini unadhani unahitaji mkopo. Itakutaka kuambatanisha document muhimu zinazonyesha kuwa hali yako ya maisha imebadilika toka kipindi unaomba mkopo, mfano labda mzaz wako amefariki hapa katikati (kutoka deadline ya maombi ya mwanzo hadi sasa). Kumbuka kuwa bodi wanazo sababu wanazozijua wao za kukunyima mkopo hivyo basi itakupasa wewe uwathibitishie kwamba kweli una uhitaj wa mkopo.
NB: usipoteze hela yako kama hauna any supporting document that shows your life status has changed and u ril need the loan, trust me utatuma na bado utakosa tena!
dah! Pole sana. Kesi yako ni tofaut kidogo, labda nikulize umesoma private school o-level ama a-level?
Nimesoma skuli za serikali, toka chekechea mpaka form six, skul za private naziskia tu kama zipo
Kabla ya kuappeal waulizeni matokeo ya walioappeal mwaka jana waliyabandika wapi?
Mbna kuna m2 aliluwa HESLB
et wameambiwa yatma itawabidi kwenda na hati hucka ili wapewe mikopo,
sio kweli???
Mbna kuna m2 aliluwa HESLB et wameambiwa yatma itawabidi kwenda na hati hucka ili wapewe mikopo, sio kweli???