Ipo for sureeti zawadi ya mwaka ??
safii mkuuZAWADI! ngoja nijaribu..
Kipaji ni uwezo fanisi alionao mtu kiasili enye weledi wajuu ktk utendaji. Au kipaji ni uwezo asili mtu anaozaliwa nao na kutenda kwa ufanisi wa kipekee.
moja kati ya njia kuu ktk kugundua kipaji chako ni "utendaji" yani ktk kutenda jambo fulani kiwango cha matokeo huwa ni cha juu/kukiweza zaidi/katika namna ya kipekee..
Pia kipaji unaweza kukitambua kwa kujitazama(kujichunguza) wewe mwenyewe au wengine wanasema nini ktk ufanisi wakiutendaji juu ya jambo fulani(huwa ni jambo litakalokuletea sifa au kukubalika in a +way endapo na -watakuwepo).
Kupenda kitu fulani(si kwa wote)
Jichunguze ktk vitu unavyovipenda namna unavyovitenda/kuviweza ktk ufanisi/kukubalika ama kuvutia watu wengine namna unavyovitenda either uchoraji n.k,kwa maana kipaji mda mwengine huwa ni kitu unachokipenda hivyo unajikuta unakitenda kwa ufanisi wajuu.
kujaribu kutenda,muda mwengine watu wanashindwa kung'amua vipaji vyao kwasababu hawajaribu kutenda vitu ambavyo unakuta wanaviweza kwa weledi.. narudi
Kwa mwendo huu, sizani kama utakosa zawadi.Nini kinahitajika kifanyike ili
kipaji kimnufaishe mhusika?
kwanza cha kufanya ni
kuonyesha kipaji chako kwa watu ili wakutambue(kubali kutumika mwanzo mgumu).
ukishatambulika kiufasaha ifanye kuwa kazi huku ukiendelea kujibidiisha ktk kuongeza ufanisi.
uonapo fursa inayohusiana na kipaji chako usisite kuitumia maana kufanya hivyo kunakutambulisha zaidi na kupitia hivyo unaweza kuitwa kufanya kazi sehemu mbalimbali.
Pia kufundisha wengine ni moja ya nufaiko.
mengine yanayoweza kukusaidia ni kuwa na focus kwa unachokifanya,tangaza kazi yako,ubunifu usikae mbali nawe,matumizi mazuri ya fursa,heshima kwa kazi yako nazawengine n.k
Michael jackson alikuwa hapendi tour lkn alikuwa anazifanya... Nafikiri umeng'amua kitu.
Kuna baadhi ya vipaji vinakufa kwasababu ya mazingira na hayohayo mazingira yanachangia kuibuka kwa kipaji hii nayo ni mada.
Changamoto unazopitia ziwe funzo kwako na kwawengine.
SIJUI NAPATA ZAWADI... muje na wengine tulisongeshe tuitwae hii zawadi.
mkuu wamelala hao hebu nipe zawadi mambo yawe murua..Kwa mwendo huu, sizani kama utakosa zawadi.
Ngoja tuwasubiri wadau
hii zawadi imekosa mwenye nayo ati..? naikomalia mpk niipate leta zawadi yangu mkuu utajuta kusema unatoa zawadi!Kwa mwendo huu, sizani kama utakosa zawadi.
Ngoja tuwasubiri wadau
Hongera sana mkuuhii zawadi imekosa mwenye nayo ati..? naikomalia mpk niipate leta zawadi yangu mkuu utajuta kusema unatoa zawadi!
hao wengine hawajitokezi sababu hawawezi wajitokeze sasa kama wanaweza.. ukipata hata watano utaniambia watz tu wavivu mwenyewe utajionea..Hongera sana mkuu
Kuhusu zawadi nakosa vigezo kwani ilipaswa mada ichangiwe na wengi ili nishindanishe content.
Sasa ni wewe tu umejitokeza.