Translator
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 286
- 297
Unapatikana wapi?Iwapo una kazi inayohitaji Translation au editing, karibu sana.
Inaweza kuwa ni:
- muswada for editing
- kitabu (for translation)
- ripoti for editing
- movie for subtitling
nk.
Nipo Arusha. Vitabu vidogo vya Kidini utatafsiri kwa gharama na muda gani? Mfano: 24 pages.Hapahapa Dar es Salaam Bishop Mafie (hoping kwamba nawe upo hapa)😀
Ngoja ni ku-pm Bishop MafieNipo Arusha. Vitabu vidogo vya Kidini utatafsiri kwa gharama na muda gani? Mfano: 24 pages.
Okay.Ngoja ni ku-pm Bishop Mafie
Tayari sijui kama imefika.Okay.
Ulihitaji transcription ya kazi ya aina gani mkuu?Unafanya transcribing?
Ni ya interviews Fulani ambazo huwa nazifanya Mara kwa Mara. Nikiwa Nazi nitakutafuta mkuuUlihitaji transcription ya kazi ya aina gani mkuu?
Hamna shida. Karibu sana mkuu.Ni ya interviews Fulani ambazo huwa nazifanya Mara kwa Mara. Nikiwa Nazi nitakutafuta mkuu