Kama unahitaji line ya M PESA
fuata maelekezo yafuatayo:-
i) TIN No.
ii)Lesseni ya biashara (iwe ndogo au kubwa),leseni ya biashara ni rahisi sana kupata,ulizia mamlaka husika
iii)Kitambulisho chako.
..line kutoka inachukua wiki 3 mpaka mwezi,na gharama ya line 1 ni kilo 2 tuu!
Kuna ambazo zilishatumitumiwa na mawakala wengine,so ukitaka kuchange jina liwe lako,mahitaji ni hayo hayo apo juu! ila unaweza endelea kutumia bila kuchange jina,so hayo mahitaji apo juu hayatakuhusu...!
kwa nayehitaji tu anicheki apa 0755 927881................

Mbona kwa hivi sasa zinapatikana BURE tu mkuu au ndiyo mambo ya mujini?.......Kimbembe line ya Tigo Pesa bhana acha kuwaibia watu..........ni vizuri anayehitaji aende Vodacom achana na hawa Wasaka tonge........Nina hasiraaaaaa mura.......
Taarifa:kuuza line ya M-pesa ni makosa,hi yo kama umeshindwa biashara irudishe vodacom
Ni kweli mkuu kwamba hakuna Zero cost......lakini isiwe kubwa kupitiliza.....!!!..kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni,nashukuru kwa kupata hiyo taarifa na naifanyia kazi!
lakini hakuna cha bure siku mkuu!....