JE, wewe ni mjasiliamali? Kampuni? Shule ? Chuo? Nk, Na ungependa huduma yako au bidhaa zako ziwafikie watu wa mbeya na maeneo ya jirani?! Basi Kampuni yetu yenye ofisi zake hapa jijini Mbeya tunaweza kuingia mkataba kutoa huduma au kusambaza bidhaa zako huku. Kampuni iko registered, INA leseni na ofisi tangu 2013.
Tumejipanga vizuri tu kuhakikisha tunatumia strategies zote mhimu kufanikisha huduma hiyo.
Kampuni yetu hushughulika na Project consultancies, Outsourcing services na Agency services.
Huduma hizi ni mhimu kwa wadau wa Biashara mbalimbali nje na ndani ya nchi. Kupanua biashara au huduma zako kwasasa, AGENCY services ni suruhisho jema zaidi kuliko mwenyewe kufungua branches/matawi; hii inasaidia:
watu wengi kufikiwa na huduma au bidhaa zako
wewe kupunguza gharama za uwekezaji na uendeshaji
wewe kutotumia mda mwingi kuzunguka maeneo mbalimbali nchini
wewe kupata mda mwingi kufanyia kazi changamoto za uwekezaji wako na kupata mawazo mapya
kupanua wigo wa ajira kwa watanzania wenzako pia.
hivyo nawashauri kwa kuanza, ANZA nasi, tutaweka taratibu nzuri sana za kimkataba ili kulinda masilahi ya biashara au huduma zako na Kampuni yetu pia.