Habari wakuu Natafuta Chumba kimoja kiwe self-contained maeneo ya Mbezi Beach, Sinza au Makongo Juu...
Nyumba iwe ndani ya Fensi, Isiwe na wapangaji wengi kuepuka kupigizana kelele.
Bajeti: 100,000
Kama una chumba Nicheki PM
Sent From My Nokia Ya Tochi
Sent From My Nokia Ya Tochi