Je, Umoja wa Afrika AU SADC watatuma waangalizi wa Uchaguzi Marekani?

Bipolar

Member
Apr 29, 2016
44
49
Ningependa kujua kama AU au SADC nao watatuma International observers kwenye uchaguzi wa Marekani. Maana ni vyema kuhakikisha hawamchakachui mheshimiwa Trump.
 
observers lazma wawepo ila kwa usa cdhani kama kuna gold la mh.nape
 
Hahaha mheshimiwa trump lazima achakachuliwe tuu maana kama waliiba ndani ya chama awashimdwi kwenye general election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…