Bsc in geomatics..nilikua na ndoto tokea olevel ya kusoma land survey..namshukuru mungu nimepata na ilikua my first choice..!!mungu anisaidie niweze kumaliza salama inshallah
Ahsante kwa uzi mzuri mkuu, Binafsi sikuwahi kuwaza cku moja ntaitafuta nafac ya kufanya baed udsm lakin ilinbidi kuhangaika sana kuipata baada ya ramani yangu kupotea 2010, nashukuru Mungu nliichora upya, napenda pia wewe ulopata kile ambacho umepata usiumie moyo bali mshukuru Mungu wako, uridhike na uwe tayari kutumika ktk kada husika kwa sababu maisha ni zaidi ya tunavyoyaona. Kumbuka kuwa maisha yataendelea hata baada ya degree ya kwanza na tunao muda wa kukamata opportunity nyingine. Kila la kheri kwa mwaka wa kwanza wote wa Vyuo Vikuu Tanzania.
Me ni hapana cjaridhika
hongera, inaelekea ulikua unajua unaelekea wapi tokea o level...wengine walishapoteza ramani tokea shule ya msingi..
hatakama ujapenda lakini kwa matokeo yako uliyopata 4m 6 hutapenda tu eti umepata E E S Halafu huna taka kuwa member wa uDsM watakucheka watu we paki na TeKu yako pole
hatakama ujapenda lakini kwa matokeo yako uliyopata 4m 6 hutapenda tu eti umepata E E S Halafu huna taka kuwa member wa uDsM watakucheka watu we paki na TeKu yako pole
hongera kwa kuchora ramani mpya ,wengi wanasahau wanachotaka na kuishia kufanya chochote kilicho mbele yake.
Ahsante mkuu! nafahamu "where there is determination, gentlemen can make wonders" wewe mweka thread na mimi nliyeitazama kwa upana tunayo zaidi ya haya tunayoyaandika na cha msingi tuitake jamii ya kiuniversity 1st yr ambao vichwa vimeshika moto sasa kwa kupata wasichotamani watulie na waone ni challenge ambayo wanayo na waikubali. Wavae moyo na hisia za gentlemen, wadetermine. They will surely make wonder.
oil sumu , wewe ulipata EES ?